WATOTO WETU TANZANIA
Wednesday, October 17, 2012
TANZANIA CHILDREN'S RIGHTS WEEK 2012
TANZANIA CHILDREN'S RIGHTS WEEK IS A WEEK THAT WAS ESTABLISHED WITH THE AIM OF CREATING OR PROMOTING PUBLIC AWARENESS ON THE RIGHTS OF CHILDREN IN TANZANIA, TANZANIA CHILDREN'S RIGHTS WEEK IS A WEEK THAT EXPECTS TO REACH A LARGE NUMBER OF TANZANIANS WITH SIGNIFICANT MESSAGES COMMUNICATING THE RIGHTS OF CHILDREN IN THE COUNTRY. THIS YEAR, TANZANIA CHILDREN'S RIGHTS WEEK THEME IS:- "STOP THE VIOLENCE AGAINST CHILDREN: CHILDREN ARE THE FUTURE"
WIKI YA HAKI ZA WATOTO TANZANIA
WIKI YA HAKI ZA WATOTO TANZANIA NI WIKI ILIYOANZISHWA NCHINI TANZANIA KWA LENGO LA KUTENGENEZA AU KUONGEZA UFAHAMU WA UMMA WA WATANZANIA JUU YA HAKI ZA WATOTO. WIKI HII ITAKUA INAAZIMISHWA KILA MWAKA KUANZIA TAREHE 14 HADI 20 MWEZI NOVEMBER. KATIKA WIKI HII WATANZANIA WOTE WATATAKIWA KUJALI HAKI ZA WATOTO NA KUTENDA MATENDO YATAKAYODUMISHA NA KUENZI HAKI ZA WATOTO, VYOMBO VYA HABARI VITATAKIWA KUANDIKA NA KUZUNGUMZIA MAMBO YANAYOHUSU HAKI ZA WATOTO. TUNAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KUSHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI HII, DONDOO ZAIDI ZITAWAFIKIA PUNDE.
Sunday, October 7, 2012
KARIBUNI KWENYE BLOG YETU YA "WATOTO WETU TANZANIA"
Blog hii itakua inawapasha habari mbalimbali zinazohusu watoto wa hapa Tanzania na Ulimwenguni kote kwa ujumla, blog hii itakua inawapa dondoo mbali mbali zinazohusu watoto. KARIBUNI SANA.
Subscribe to:
Posts (Atom)